ARSENAL WAPATA GUNDU LA KWANZA NA WORLD CUP TOKEA MWAKA 1996
Wakati zimebakia siku saba moto uweze kuwaka pale Urusi katika fainali za kombe la dunia kwa mwaka 2018. kwa upande wa Arsenal the gunners ya Uingereza kwa mala ya kwanza tokea mwak 1996 imeweza kuwa na wachezaji wa Ufaransa katika kikosi hicho nakukosa hata mchezaji mmoja liyeweza kuitwa kwa ajili ya fainali hizo za kombe la dunia
Ifahamike kuwa katika kikosi cha Arsenal kuna wachezaji wawili raia wa Ufaransa wakwanza ni Laurent Koschienly ambaye hawezi kucheza kutokana na majeraha aliyo yapata katika mechi ya nusu fainali ya Europa League wakicheza na Atletico Madrid
Ukiachana na Laurent Koshienly mchezaji mwingine toka gunners ni Alexandra Lacazetti striker ambaye kwa msimu wa mwaka 2017/2018 hajawa na msimu mzuri katika klabu hiyo kutokana nakuwa ndo msimu wake wa kwanza tokea amejiunga na washika bunduki hao, na hakuweza kufanya kazi nzuri ambayo ingeweza kumshawishi kocha wa france aweze kumuita, huku jembe waliloliteam kwenda Chelsea Giroud akiwa ameitwa katika kikosi hicho,

Post a Comment