Tiwa savage afunga mwaka na SUGAR CANE
Staa wa muziki kutokea Nigeria Tiwa Savageambaye amekuwa akilitambulisha vizuri Bara la Afrika katika mataifa mbalimbali kwa kufanya vizuri kwa nyimbo zake, time hii kaja na video mpya ya wimbo wake wa “Sugar Cane” unaweza kubonyeza PLAY kuitazama.
Post a Comment