Abraham Nii Attah mwafrika mdogo anaye tamba marekani


Abraham Nii Attah ni kijana mwenye umri wa miaka 16 akiwa na asili ya Ghana ambapo maisha yake yalifunguka baada ya kufanikiwa kushiriki katika movies tofauti tofauti nchini Marekani Hollywood.
Abraham Nii Attah alipokea tuzo ya Marcello Mastroianni 2015 baada ya kuigiza kwenye movie pendwa ya Beast of No Nation na kucheza kama mwanajeshi shupavu mtoto akiwa na muigizaji maarufu nchini MarekaniIdris Elba.
Mwaka 2017 Abraham Nii Attahameshirikishwa katika movie ya Spider Man-Home Coming na hadi sasa anaishi na kusoma Marekani.

No comments