DURANT AWASHA MOTO GAME TATU HUKU LEBRON AONGEZA HISTORIA

Kule kwa Trump usiku wakuamkia leo kulikuwa kuna fainali za NBA kwa mwaka 2017/2018 kati ya golden state wariors na cleveland Cavaliers na hiyo ndo ilikuwa game ya tatu huku game mbili za kwanza CAVS  wakiwa wamelala na game ya jana Cleveland akalala tena kwa points 102 kwa 110 za warriors huku wakisubili game moja tyu waweze kuwa mabingwa wa NBA  kwa msimu huu 



Ukiachana na kuwa warriors wameshinda unatakiwa kujua haya yafuatayo Kelvin Durant alikuwa man of the match baada ya kuweka points 43 Rebounds 13 assist7 na akiweka three points 6
 Kitu cha pili chakujua nikuwa mwenye team yake pale Cavs nikiwa na maana ya Lebron James kwa siku ya jana ameweza kuongeza vitu katika historia ya NBA ,
1. Chakwanza kabisa ni katika Rebounds Lebron James anapanda juu hadi nafasi ya tano akiwa na rebounds 474 huku anaye ongoza akiwa na  rebounds 1,718

2.Kitu chapili ambacho LeBron james ameweza kufanya ni kuwa mchezaji wa nne mwenye michezo mingi katika swala zima playoffs(michezo ya mtoano) akiwa na mechi 238 huku anaye ongoza akiwa na game 259 Dreke Fisher

No comments