HARRY KANE AMWAGA WINO WA MIAKA SITA TOTTENHAM

Badaa ya kufanya vizuri katika ligikuu ya nchin i uingereza na watu kuhisi kuwa Harry Kane huenda akatimkia katika vilabu vikubwa kama PSG au Real Madrid, huku wengi wakiwa wana msubili wamuone pale urusi katika fainali za kombe la dunia atakapo liongoza Jahazi la Uingereza
Tokeo la picha la harry kane  new contract


Usiku wakuamkia leo Harry Kane ameshtua mashabiki wengi baada ya kuonesha moto wake na mapenzi yake na timu ya Totenham baada ya kumwaga wino katika mkataba wa miaka sita utakao isha mnamo mwak 2024

No comments