MOTO WA USAJILI ULAYA WA ZIDI KUPAMBA MOTO

Kuweka mambo sawa katika swala zima la usajili wa wachezaji kwa msimu wa mwaka 2018/2019 team mbali mbali zime weza kufanya usajili nyingine zikifukuzia wachezaji mbali mbali tukianza na swala zima la kufukuzi wachezaji,
1.Arsenal the gunners wao baada ya kumpata beki wa Juventus ya Italia wame amu akuludi tena kwa mala nyingine tena kwa sasa wakiwa wan taka kuweka heala mezani wakiwa wana wataka Rugania na Benataia wakiwa wanataka kuhimalisha ulinzi wa team hiyo na hayo yote yame thibitishwa na mtandao wa Calciomercato.com kuwa kw aupande wa Rugani alikuwa katika rada za Arsenal kwa kipindi kirefu hivyo Arsenal wapo katika nafasi nzuri huku kwa upande wa Benatia beki toka morocco aliye anza kuichezea Juventus kwa mkoopo mpaka pale alipo pata uhamisho wakudumu yeye hana maelewano mazuri na kocha mkuu wa timu hiyo hivyo anaona ni bora akaenda eneo ambalo atapata maisha mazuri na kocha wake
Image result for rugani juventus

2.Unamkumbuka Kuivert wa Barcelona mto wake na ukali wa mdachi huyo?, na ule usemi wakuwa mtoto wa nyoka ni nyoka basi mtoto wa Patric Kuivert anaye kipiga katika klabu ya Ajax, kwa sasa timu yake na klabu kutoka Italia As Roma wameingia makubaliano baada ya Justin Kuivert kugoma kuongeza mkataba wake kuendelea kukichafua klabuni hapo  na atauzwa kwenda As roma kwa dau la € 15 million iliaweze akafanye mamabo kama aliyoweza kufanya baba ake Patrick Kuivert















3. Leicester city klabu kutoka Uingereza nayo inazid kujipanga kwa ajili ya msimu ujao wa mwaka 2018/2019 kwani wame zidi kufanya usajili wa nguvu baada ya kumchukua mchezaji wa zamani  Manchester United John Evans mwenye umri wa miaka 30 ambaye mpaka sasa amecheza ligi ya EPL michezo 250 akiwa na Mna u na WestbromwichAlbion

No comments