Valentine movie CONTINGENCY
kwa siku ya 14 mwezi wa pili huwa nisiku mahususi kwa ajili ya wapendanao vijana toka UDSM Wana leta movie special kwa ajili ya siku ya jana movie yenye funzo kubwa katika mahusiano
CONTINGENCY ni moja wapo wa muvi fupi na nzuri sana yeneye story
nzuri yakuvuitiwa movie ambayo ime tenegnezwa na vijana wabunifu san
kutoka Chuo kikuu cha Dare-salaam UDSM.
Briateq
nomoja wapo wama director amabao wankuja katika tasnia ya filamu na
production kiujumla na ndo director ambaye ame shot movie hii ambayo ime
jumuisha wasanii wawili amabao ni JOSHUA FABER na mwanadada GLORY
BALTAZAR.
{Contingency kwa maana halisi ye neno nikile
kitu amabacho hakikupangwa kutokewa bali kimeweza kutokea, kwenye movie
hii josh hakuwahi kupanga vitu vile kati yake yeye na mwanadada glory
kutokea lakin vilitokea na vikazidi kutoke, Nifundisho kubwa kwa
wapendanao kuwa kitu chochote katika relationship chaweza kutokea }
Kujua
visa na mkasa angalia movie hiyo ya dakika moja kupitia video hapo
chini pia toa maooni yako kupitia account ya youtube iliyo post movie
hiyoo
Post a Comment