Christiano Ronaldo aweka sumu mpya UEFA
Mchezaji raia wa ureno Christiano Ronaldo usiku wa kuamkia Alhamis ya leo ameweza kuweka rekodi ambayo nikama sumu kwenye chakula ambapo ameweka rekodi mbili
Rekodi ya kwanza kabisa ni rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza tangu Ligi ya UEFA Champions League ianze kufikisha magoli 100 akiwa na team moja huku kiujumla akiwa an magoli 115, Kuminatano akiwaameyapatia akiwa na team nyingine alizowahi kupitia
Pia Christiano Ronaldo anakuwa mchezajiwa kwanza kufunga Magoli katika mechi saba za ligi ya mabingwa ulaya consecutively rekodi amabyo haija wahi kuwekwa na mchezaji yoyote yule. Kama Uefa champions league kuweka rekodi ni sumu basi ronaldo aweka sumu kwa wa chezaji wenzake katika kombe hili
Pia ifuatayo ni list ya wachezaji ambao wana ongoza lwa amgoli wakiwa katika michuano ya UEFA champions league
Most goals in UEFA club competition (*still active)
100 – Cristiano Ronaldo* (143 games)
97 – Lionel Messi* (118)
76 – Raúl González (158)
70 – Filippo Inzaghi (114)
67 – Andriy Shevchenko (142)
62 – Ruud van Nistelrooy (92)
61 – Gerd Müller (69)
59 – Thierry Henry (140)
59 – Henrik Larsson (108)
56 – Zlatan Ibrahimović* (136)
54 – Eusébio (70)
53 – Alessandro Del Piero (129)
51 – Karim Benzema* (93)
50 – Didier Drogba (102)
50 – Klaas-Jan Huntelaar* (82)
Je nani kuja kuvunja rekodi hii ya mnyama Ronaldo

Post a Comment