G-eazy agoma kutoka H&M

Rapa G-Eazy mwenye ngozi nyeupe amesema amevunja mkataba na maduka ya H&M Baada ya kitendo cha kibaguzi kilichofanyika kwa mtoto wa kiafrika kuvalishwa nguo yenye ujumbe wa “Coolest Monkey In The Jungle”>Nyani Powa zaidi Msituni.
G-Eazy amevunja mkataba na Brand hio ya Sweden akidai Ni uamuzi mzuri sababu yeye ni rapa mwenye ngozi nyeupe na isinge kuwa sawa yeye kuendelea kuangalia faida ya pesa tu na sio hisia za watu, uhusiano wake na H&M ungeleta madhara makubwa kwenye kazi yake ya muziki.
G-Eazy anasema ameyakimbia mamilioni ya dola za kimarekani.

No comments