Jezi za team za Taifa zitakazo tumiwa Urusi 2018
Kuelekea kombe la Dunia Urusi kwa mwaka 2018 makampuni mbalimbali ambayo yana dili naku tengeneza vifaa vya mpila kama viatu, jezi, guards, na udambiwi dambwi mwingi kuhusu michezo. Kampuni hizo ni kama Puma, Nike,Adidas, New balance, Umbro, na Uhlsport ndo makampuni amabayo yata husika kutenegneza jersey tofauti kwa ajili ya team zote ambazo zita shiriki kombe la Dunia huko Urusi.
Makampuni baadhi yame anza kkuzindua jersey amabazo zita tumika katika team tofauti tukianza na Adidas ambao ni wadhamini wakubwa wa team ya Nigeria wame amua kuzindua uzi amabao utatumika na team hiyo, kupitia mtanadao wa instagram Alexanda Iwobi alipost picha akiwa na staa wa nchi hiyo katika kipengele kizima cha muziki wizkid wakiwa wame vaa uzi mpya wa super egos
ukiacahan na Nigeria team nyingine ni Portugal au ureno team amabayo ina mchezaji bora wa dunia christiano Ronaldo uzi amabo utatumika ni huu hapa
Team nyingine ni team ya Taifa ya mchezaji ambaye inasemekana akwa ndo mchezaji anaye lipwa kuliko wachezaji wote pale kwa babu wenger nikiwana maana ya mesut ozil ambaye anchezea team ya taifa ya Ujeruman nao uzi wao amabao utatumika kwa ajilli ya kombe la dunia upo wazi nao nin huu hapa
team nyingine ni France team ambayo ina wachezaji wengi sana amabao wanacheza soka laku lipwa ulaya uzi wao amabao wata sakatia kabumbu ni huu hapa
Team nyingine ni Spain amabyo ina undwa na kipa ambaye ana tarajiwa kuwa ndo kipa bora duniani David degea amabaye ana kipiga katika team ya Manchestar united uzi wao mpya ni
Wenyeji weneyewe Russia nao pia jezi amaabyo wata tumia kipindi cha kombe la dunia ni hii hapa kwa mashavu makubwa ya Adidas
Egypt wajukuu wa falao amabao wanamotot wakuotea mbali kwkauwa wana uhimili wakuwa na wachezaji wengi wa zuli hukku wakiwa na professionals kama Mo Salah anaye kipiga katika klabu ya liverpool, Mohamed Elneny anaye kipiga mjini London kwa babu Arsenal Wenger. uzi waoa watakao utumia kwa mwaka 2018 Russia mashavu makubwa kutoka kwa Adidas
Uruguay kutoka America ya kusini team inayo undwa na moja wapo ya chezaji watukutu mna wenye uwezo wakufumania nyavu pale wanapo pata nafasi hiyo simwingine ni Luis Suarez anaye kipiga katika klabu bora duniani Fc Barcelona, na mabeki nguli kama diego Godin mtaaalmu wakuzuia mashambulizi roho ya Diego simeone wao wata dhaminiwa na kampuni ya puma nakuwapa vifaa mbali mbali vya michezo na huu ndo uzi utakao tumika katika fainal za kombe la dunia kwa Uruguay
Kampuni ya Umbro yeneyewe watkuwa wana supply vifaa kwa team ya taifa ya peru katika fainali za kombe la dunia kwa mwaka 201 huko urusi
Team inayo undwa na mchezaji bora wasoka duniani kwa misimu mitano Lionel Messi na wachezaji wengine wakubwa kabisa wao wata tinga uzi au jezi zitakazo tengenezwa na kampuni ya Adidas
Croatia team inayo undwa na viungo bora wanao chezea team bora ukimuongelea Luka Modri'c toka RealMadrid Rakitic anaye kipiga catalunya ikiwa na maana ya Fc Barcelona uzi utakao tumiwa na viungo hawa kwa mwaka huu Urusi ni
Huku kwa uingereza wao washa zindua tayali na kujulisha wapenzi wa team hiyo uzi utakao tumika katika kombe la dunia kwa udhamini mkubwa wa Nike
Brazili kutoka Amerika ya kusini team inayo undwa na mchezaji ghali zaid duniani anaye kipiga mjini Ufransa katika klabu ya PSG yeye pamoja na wenzake wata ongoza jahazi la brazili wakiwa wame tinga jezi hizii hapa amabazo zipo katika usimamizi mkubwa wa Nike
Je wewe nimpenzi wasoka? na unasubili kwa hamu kabisa kushuhudia nani anakuwa bingwa wa Dunia kwa mwaka 2018 hizoo ni baadhi ya jezi ambazo zisha tangazwa wengni bado lakin chagua jezi yako kali amabayo itawakilisha team yako ya World Cup 2018

Post a Comment