Pogba na Mourinho wa washiana moto OT
Moshi mkubwa na mzito umetanda mjini oldtraford katika ya mchezaji amabye alikuwa ghali zaidi duniani kwa mda mfupi kabla ya Neymar kuchukua nafasi hiyo simwingine ni Paul Pogba ambaye kwa sasa anaonekana kuwa katika mazungumzo mabovu na kocha wake mreno Jose Mourinho.
Vita hiyo ilianza pale amabpo Paul Pogba alitolewa katika mechi yao zidi ya Newcastle united game amabyo Manchestar united alilala kwa goli moja, huku Pogba akitolewa katika mechi hiyo, na alipotoka waandishi wa ahabri walimuuliza kwanin umeamua kuondoka akasema kuwa ni kwasababu ya injuries lakin pale mreno alipo ulizwa nin hasa ilikuwa shida ya kumpumzisha pogba wakati team akihitaji uwepo wake uwanjani alisema tatizo so injuries bali ni matatizo binafsi amabyo yana endelea katika klabu.
Akaendelea nakusema kuwa Pogba alimtaka jose mourinho aweze kubadilisha formation ili iweze kumfanya Pogba aweze kucheza katika postion akiwa na midfield watatu, Mourinho akasema Pogba amesahu jinsi alivyo kuwa anacheza vizuli pindi alipo kuwa anacheza kama midfield axis kuwa alikuwa ana fanya vizuli, anacho hitaji pogba nikupunguziwa kazi kwani ana amini kuwa anakuwa nakazi kubwa yaku defense pale wanapo kuwa wanacheza wawili katikati. Mourinho akazidi kutema cheche nakusema hajalizishwa vilivyo na mchezaji huyo toka kuwasili kwa Sanchezi aliye tokea Arsenal
SOURCE; Manchester Evening news

Post a Comment