Vita ya ubingwa Uturuki ya pamba moto
Huku france PSG wakiwa washatangaza ubingwa na England Man city wakiwa mabingwa mtaa watatu wa Nertheland PSV akiwa kasha chukua sahani lake la 24 na huku kwa Hitller Bayern Munich akibeba na yeye sahani lake
Uturuki ngoma ngumu kwani team zote Nne za juu zimekuwa zikichuana vikali mpka sasa hukuikiwa haijulikani nani atakuwa bingwa kati ya team zilizopo juu kwani
1.Glatasaray wanaongoza wakiwa na point 60 na goal difference ya 35
2.Besiktas wapo nafasi ya pili wakiwa na point zao 59 na goal difference 32
3.Basaksheir wakiwa na point 59 lakin goal difference ya 20 wakiongozwa na Emmanuel Edebayor
4.Fenerbache ambaye na point 57 hukuakiwa na goal difference 27
Kwahiyi hapa kila mtu ana muombea mwenzake mabaya huku Galatasaray akiwa anakutana na Besikitas week mbili zijazo mambo ni moto Uturuki

Post a Comment