The tall Man chroch aweka rekodi yake Stoke city
Kwa wafatiliaji wa mpila haswa haswa soka la Uingereza watakuwa wana mjua mshambuliaji aliyewahi kukipiga katika klabu ya liverpool na ambaye amekipiga katika team ya Taifa la Uingereza simwingine ni Peter Chroch "the tall man" usiku wakuamkia leo ameweka relodi katika klabu ambayo anaichezea saiz ya Stoke city Fc nakuwa mfungaji mwenye magoli mengi wa mda wote katika klabu hiyo kwa kufunga magoli 44 huku team yake iki enda sale ya moja moja na The hu
Post a Comment