Vidal &Batshuayi wakutana na panha mwisho wa msimu
Klabu ya Fc Bayern Munich wamepata pigo baada ya mchezaji wao nguri kabisa Arturo Vidal kufanyiwa upasuaji wa goti lake na kumfanya aweze kukaa nje ya uwanja kwa mda amabao utakuwa ni mpka mwisho wa msimu huu na atakosa game ya nusu fainali ya UEFA champions league na Real Madrid huweza ikawa moja wapo wa habari nzuri kwa mashabiki wa Real Madrid kwani kisiki champingo cha Bayern kitakuwa njee
Tukiwa bado hatuja toka nchini Ujerumani klabu ya Dortmund nayo imepata janga kubwa laku mpoteza mshabuliaji wake aliye kuja kwa mkopo toka Chelsea the blues wenye maskani yao mjini London na niRaia wa Belgium Michy Batshuayi ambaye amepata majeraha yatakayo mfanaya kuto maliza ligi hiyo ya bundelsliga nakuludi kwao Stamford Bridge kuuguza majeraha yake kwakuwa mkataba wake wa mkopo na klabu ya Dortmund utakuwa umeisha pale atakapo kuwa amepona ambapo ni mwisho wa msimu wa 2017/2018, mshab´mbuliaji huyo alitumia mtandao wake wa twitter kuwaaga mashabiki na wachezaji wa team yake na kuwatakia mema

Post a Comment