JUNE28,2018 Drake kuweka SCORPION maskioni mwamashabiki zake


Ukiongelea ngoma  ya Gods plan moja kwa moja utakuwa unaongelea bonge moja la track iliyo pigwa na mbabe  Drake, kwa siku ya jana kupitia mtandao wake wa Instagram alipost picha akiwa amevaa jacket amabalo lilikuwa na maneneo yaliyo ashilia kuwa kuna ujio wa album yake nyingine itakayo kuwa na jina la SCORPION ambayo itatoka mweizi wa sita tarehe 28, mwaka 2018 itakayo kuwa imetenegenezwa na maproducer NOAH 40 SHEBIB NA OLIVER EL KHATIBU, na inasemekana kuwa Gods plan inaweza ikawa moja wapo wa track itakayo kuwa katika Album hiyo, Je nani kashirikishwa kuna ngoma ngapi majibu yote hayo bado hayaja toka na yakitoka utajulishwa hapa hapa

No comments