ManU watoa ubingwa EPL Monaco league 1 huku PSV wakichukua sahani lao la 24

Manchester united wanao ongozwa na Mreno mwenye maneno yake mengi katika soka Jose mourinho the special one leo katika game yao zidi ya washika mkia wa EPL Westbrom Albion wamepokea kipigo cha goli moja la uchungu nyumbani na kuifanya Manchester city kutangaza ubingwa wake wa Tano tokea EPL kuanzishwa, huku city anapata ubingwa kiungo wa city raia wa Spain Silva anakuwa amepata ubingwa wake watatu na mtoto ju kwnai mke wake amejifungua kwa siku ya leo wanapotangazwa kuwa mabingwa
  
Ukiachana na manchester city kutwa ubingwa nchi jirani kama Nertheland PSV wanatwa ubingwa wao wa 24, na hapo France mabepali wa nchi hiyo katika soka PSG wanampiga hasimu wao mkubwa Monaco goli Saba kw amoja nakutwa ubingwa wa France kwa mara  tano mfululizo 


                                                     

     



No comments