Arsenal yaongeza rekodi mbaya katika historia......
Wajukuu wa mzee Arsen Wenger kwa siku ya jana jumapili wamepokea kipigo chatano katika EPL kwa mechi za ugenini ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa vijana hao wenye maskani yao pale Emirates kupojea vipogo hivyo vya a way tokea mwaka 2018 uanze hawaja weza chukua point hata moja katika game za ugenini
Jana wamepokea kipigo kutoka kwa watoto wa Raphael Benitezi cha mbili moja nakukamilisha idadi ya mechi tano ugenini bila ushindi wala point moja
Jana wamepokea kipigo kutoka kwa watoto wa Raphael Benitezi cha mbili moja nakukamilisha idadi ya mechi tano ugenini bila ushindi wala point moja
Post a Comment