VITA YA WABABE WA LA LIGA YA ENDELEA
Usiku waku amkia jumapili ya tarehe 25 mwezi wa pili Spain katika league yake kumekuwa na vita ya mabishano ya kuweka rekodi mbali mbali kwa mastaa wakubwa wa league hiyo, kuanzia mapema kabisa game ya kwanza Spain iliwakutanisha miamba miwili kati ya CELTA DE VIGO na EIBAR ambapo katika game hiyo celta de vigo wame shinda kwa goli mbili kwa bila magoli ya IAGO ASPAS na M' GOMEZ
Game ya pili ilikuwa kati ya watoto wawakubwa REAL MADRID na DEPORTIVO ALAVES ambapo katika game hiyo Real madrid walifanikiwa kuwachakaza Alaves kwa magoli manne kwa bila pongezi kubwa kwa mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo ambaye aliweza kupiga goli mbili huku Karem Benzema akipiga goli na roho ya watu wa wales Gareth Bale nakufanya watu wengi kusema kuwa BBC is back katika mchezo huo kitu ambacho kime take headline leo ni pale ambapo Ronaldo ali amua kumruhusu Benzema awezekupiga penalt ambayo kama Ronaldo angeweza kupiga penalt hiyo angeweza kufunga hattrick yake ya 50 na kufikisha magoli 300 katika La Liga
Game iliyo fata ambayo ilitalajiwa kuwa kali ni game ya BARCELONA na GIRONA game ambayo imeifanya Barcelona kuweka rekodi yake ya pekee yakucheza game 32 katika La Liga bila yakufungwa pia katika game hiyo Barcelona imeweza shinda goli 6 kwa 1 goli lamapema la Girona lililo fungwa na portu dakika ya tatu kitu ambacho kiliwapa moto Barcelona nakuweza kuwa adhibu goli sita zilizo toka kwa suarez ambaye alipiga goli tatu nakumfanya aomdoke na mpila huku mchawi mfupi anaye upiga mpila kwa kasi zote Lionel Andres Messi akipiga goli mbili na mchezaji toka Brazil Philipe Coutinho akipiga goli lake la kwanza kwa laliga huku akito na assist kwa suarez, kutokana na ushindi huo na magoli ya Messi yamemfanya kuwa king of assist ambapo ana assist 148 huku akiwa mfungaji wa mda wote waligi ya La Liga akiwa na magoli 371
Post a Comment