DAYNA NYANGE - SALE SALE Official Video
Baada ya komela aliye mshilikisha mkali wa flow billnass sasa mwanadada Dayna nyange anatuletea sale sale ngoma ambayo nikali kuanzia Audio ambayo imepikwa katika studio za Kiri Records ndani ya producer Bear Beats nahuku akiendelea na rekodi yake ya vichiupa vikali kabisa enjoy the video hapo chini
Post a Comment