Tanzania ya fikisha watumiaji millioni 23 wa internet
Katika Technology info inakuletea rekodi mpya amabayo ime wekwa na watanzani katika swala zima lakutumia mtandao, amaabpo kupitia mtandao wa ET Telecom umesema Tanzania kiwango chakutumia internet kimekuwa mpka kufikia watumiaji wa internet million 23
ilikuwa ina watuniaji wa internet million 19 kwa mwaka 2017 lakin kwa mwaka 2018 limetokea ongezeko kubwa mpka kufikia million 23, ambapo kupitia chiunguzi za hapa na pale imesemekana kuwa internet hiyo inatumika sana katika simu za mikononi ambapo watu hupitia website na katika mitandao yaki jamii

Post a Comment