Theo Wallcot 14 atua Everton huku kivumbi cha usajili Arsenal kikipamba moto

Kwa miaka kumi na mbili akitokea katika kiwanada chakupika wachezaji southampton hatimaye Theo wallcot ameihama Arsenal nakutimkia maskani mapya huko godson park
Theo Walcott ameelekea Goodison Park kwa ada ya £20m, na hii hapa ni list ya vitu amabavyo wallcot kavifanya akiwa Arsenal

kwa vitu venye amefanya Arsenala wallcot akatumia mtandao wake wa instagram kuwashukuru mashabiki na watu wa Arsenal kiujumla video hapo chini





Mhikitaryan anatajwa kukaribia kutua kwa kubadilishana na Sanchez kwenda Old Trafford.PiaPierre Emerick Aubameyang nae ametajwa kuelekea Emirates kwa ada ya uhamisho ya £60m kutoka Borussia Dortmund. Inaripotiwa tayari mazungumzo baina ya vilabu viwili yameshaanza ili kukamilisha uhamisho huo mwezi huu.

No comments