Davido&Nyovest waingia wasuka colabo mpya

Staa wa Muziki kutoka Nigeria Davido ‘AfroPop’ ameingia studio na msanii mkubwa wa Rap na HipHop kutoka Afrika Kusini Cassper Nyovest na wamefanya colabo.
Kwenye IG yake Davido amethibitisha kuwa tayari wamefanya colabo na wimbo huo ni CLASSIC.
Davido aliandika IG>Me and @CassperNyovestmade a classic last nite!! WHAAAAAAAAT! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Out soon!! 
Na Cassper aliandika >SOON COME!!!! Nigeria 🇳🇬 x South Africa 🇿🇦 Who’s ready for a Collabo between @davidoofficial And I????
Hii ni mara ya kwanza Davido na Cassper wameingia studio na kufanya kazi pamoja

No comments