Offset wa migos amchora card b shingoni

Rapa wa kundi la Migos, OFFSET amechora jina la mpenzi wake Cardi B kwenye shingo yake ikiwa ni wiki mbili tu zimepita baada ya tetesi kusamba kuwa alimsaliti Cardi B na mwanake mwingine
Mwaka jana Offset na Cardi B walithibitisha kuwa ni wachumba na labda watafunga ndoa mwaka huu, pia palikuwa na stori za kuwa na mkanda wa ngono wa wasanii hawa wawili.

No comments