Filamu moya ya Taraji yatoka rasmi

Filamu mpya ya Taraji P. Henson ‘Proud Mary’ imetoka kwenye majumba ya Cinema nchi tofauti duniani ata baada ya studio iliyotayarisha filamu hii kupiga vita uzinduzi huu wakidai filamu haina viwango vya filamu kubwa.
Wachambuzi wa maswala ya filamu hawakupata nafasi ya kutazama filamu hii kabla ya kupelekwa cinema, walibidi waende kuitazama Cinema ndio waandike kuhusu filamu ya ‘Proud Mary’.
Wanasema “Filamu imetayarishwa kwa viwango vidogo ila ina stori nzuri ya kutazama”.

No comments