Rayvanny toka usafini achia boom lakufungia mwaka akiwa na maphorisa&dj buckz
Rayvanny toka wcb usafini ame amua kuwa zawadia mashabiki zake nyimbo mpya yakufungia mwaka ambayo ame amuakuwa shirikisha wasanii toka South Africa Dj maphorisa na Dj buckz ngoma imetengenezwa na master craft na dj maphorisa kichupa kikali kikisimamiwa na Mr moe mussa na katika kichupa hicho muuza karanga wa tandale Diamond platnumz naye yumo na ngoma ina enda kwajina la MAKULUSA enjoy it!
Post a Comment