MONEY MONDAYS COVER is out
Mwanadada toka upaleni ambaye anafanya kazi nzuri sana naku ipeperusha bendera ya Tanzania na Africa kiujumla vizuri sana Vanessa Mdee, baada yaku wa taarifu mashabiki zake kuwa album yake ya money mondays kuwa itatoka 2018 April 6 usiku wakua amkia leo ameamua kutoa naku i tanganza cover ya album yake kuashiria mambo yame kwiva bado kupakuliwa tuu nahayo yote ameyasema kupitia mtandao wake instagram
Post a Comment