Mayweather awanyoosha Ronaldo na Messi huku Messi akimnyoosha Ronaldo

Mtandao wa FORBES ndo mtandao pekee unao aminika duniani kutoa takwimu ya vitu mbali mbali kama utajili,umaskini, vitu vyenye thamani kubwa na mamabo mengine mengi hapa duniani sasa kupiti mtamdao huo umeweza kutangaza list ya wanamichezo wenye mkwanja mrefu sana  kuanzia mwaka 2017 JUNE  mpaka mwak 2018JUNE, na katika list hiyo hapo top ten inashikiliwa na,


1.Mwana masumbwi Floyd Mayweather yeye bado ana onekana kuwa kinala katika list hiyo baada ya kutajwa kuwa na mkwanja wa $285, ambapo sababu kubwa yakuwa na pesa hiyo ndefu ni pale alipo pigana pambano lake na Mc Gregor ambalo lilimfanya kuingiza mkwanja wa $1b katika mchezo mmja huku akilipwa Zaidi ya $285
See the source image
2.Mchezaji raia wa Argentina mwenye tuzo tano za mchezaji bora wa dunia mabaye kwa mwaka 2018 amekuwa mchezaji mwenye mafanikio makubwa sana yeye ameweza kuwa na mkwanja usioz pungua $111 akiwa amempita $3 hasimu wake Ronaldo
See the source image

3.Wanamuita King of Madeira sehemu aliyo zaliwa akiwa maskini akiwa hajui hata kama skumoja ataweza kuwepo katika list za forbes Christiano Ronaldo mchezaji mwenye mafanikio makubwa hasa lakuwa na Balon Dor tano na UEFA CHAMPIONS LEAGUE tano huku tatu akizipiga mfululizo yeye mkwanja wake kijumla unasoma $108
See the source image
4.Mpizani mkubwa wa kinala wa list hii hapa McGregor yeye ameshika nafasi ya Nne akiwa na mkwanja wa $99 na hii hapa nikutoka katika pambano alilopigwa na May weather na endorsement mabli mbali alizo nazo
Image result for ronaldo frobes
5.Mchezaji nguli kabisa wa soka na mchezaji ghali kabisab hapa duniani Neymar Jr yeye pamoja na familia yake kwasababu utajili wake huwa unajumuishwa na familia yake kashika nafasi ya tano akiwa na utajili wa $90
See the source image

6.King wa team ya Cleveland Cavaliers Lebron James yeye kashika nafasi ya sita akiwa na utajili wa $85.5, akifatiwa na mchezaji tennesiRodger Federer akiwa nafasi ya saba akiwa na mkwanja wa $77.2, huku Stephen Curry wa Golden state woriors akiwa na $76.9, huku tisa na kumi wakishikilia wachezaji baseball Matt Ryan  akiwa na mkwanja wa $67.3 na Mathew Starfford akiwa na mkwanja wa $59.5Image result for ronaldo frobes

No comments