DETOX ya Dr Dree kwa miaka 16 yapikwa jikoni

Dr Dre amethibitisha kuwa bado anaendelea kurekodi muziki na kwamba album yake mpya ya Detox inaendelea kutengenezwa toka mwaka 2002.
Dr. Dre kaulizwa wiki hii kuhusu ujio wa album hio na alithibitisha kuwa inakuja na kwamba anarekodi baadhi ya nyimbo kwa sasa,
Dre amekuwa akirekodi Detox toka mwaka 2002 ila aliiweka pembeni album hio ili kufanya show ya HBO ya “The Defiant Ones”

No comments