Linchtsteiner jembe lililo tupwa na Allegri na kuokotwa na Emery
Anaitwa Stephan Lichtsteiner mchezaji wazamani wa Juventus ya Seri A raia wa Switzerland mwenye mafanikio makubwa katika soka la kulipwa akiwa na klabu yake ambayo ametoka kutemana nayo JUVENTSU amefanikiwa kushinda mataji kwa miaka saba yote aliyo kuwa akiichezea team hiyo akiwa ameichezea mechi 250 akiwa na magoli yake 12 huku kwa upande wa team ya taifa ameichezea team yake ya swiss mechi 99 akiwa na magoli 9 na amekuwa captain wa team hiyo tokea mwaka 2016
Leo tarehe tano June Stephan Lichtsteiner ameripotiwa kuungana na klabu yake mpya toka uingereza Arsenal the gunners wenye maskani yao pale emirates baada ya Juventus kugoma kumuongezea mkataba mpya wakuenedelea kuitumikia klabu hiyo, akiwa gunners atapewa jezi namba kumi na mbili na kuwa mchezaji rasmi wa klabu hiyo

Post a Comment