Msanii mpya wa WCB, Malomboso aka Mbosso khan msedede ankualika tena kwani ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nimekuzoea’ . Huu ni wimbo wa pili kwa msanii huyo kuuachia tangu alipotambulishwa rasmi kujiunga na WCB January 28 ya mwaka huu.
Post a Comment