Weekend na mechi kali za Laliga na English premium League EPL
Weekend huwa powa sana kwa wale wapenzi wa mpila pale ambapo kunakuwa kuna game moja kubwa san nangumu kutabilika, weekend hii game kali kabisa kwa ligi kuu ya Uingereza nipale watoto wa mjiini wanapo kutana yani Tottenham Hotspur watakapo menyana na wajukuu wa mzee wenger yani Arsenal the gunners game ambayo inatalajiwa kuwa na mvuto mkubwa kwakuwa team zote zina wachezaji wazuli na ikumbukwe totenham katika game ya kwanza alifungwa kwaiyo katika game ya kesho atakuwa na uhitaji waku lipiza kisasi huku Arsenal akititafta nafasi ya nne kwa udi na uvumba, ukiacahan na game hiyo mechi nyingne nikama zifuatazo
Live stream available
- Spurs Arsenal Wembley Stadium, London Live OnQuick View
- Everton Crystal Palace Goodison Park, Liverpool Live OnQuick View
- Stoke Brighton bet365 Stadium, Stoke Live OnQuick View
- Swansea Burnley Liberty Stadium, Swansea Live OnQuick View
- West Ham Watford London Stadium, London Live OnQuick View
- Man City Leicester
Post a Comment