R.I.P LIAM MILLER


Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa Jamhuri ya Ireland, Liam Miller amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
.
Marehemu Liam Miller ambaye aliwahi kuwa mchezaji wa klabu ya Celtic na Manchester United amefariki kwa matatizo ya Kansa akiwa na umri wa miaka 36.
.
Miller aliweza kuitumikia klabu ya Manchester United kwa muda wa miaka miwili tu,tangu alipojiunga nayo mwaka 2004 na kuondoka mwaka 2006.

Rest In Peace Miller
#shaffih

No comments