Rapa toka kenya atakaye hudhulia tuzo za Grammy
Kutoka Kibera Namba 8 staa wa Rap na HipHop Octopizzo kutoka Kenya amethibitisha kupata mualiko wa kuhudhuria tuzo za 60 za Grammy mwaka huu.
Octopizzo atahudhuria utoaji wa tuzo za Grammy katika shughuli hii kubwa ya muziki duniani ambayo mwaka huu inafanyika mjini New York, USA mnamo January 28.
Octopizzo ni miongoni mwa wasanii wa kubwa Afrika mwenye ushawishi mkubwa, hufanya mambo mengi ya kijamii kwenye mitaa aliyokulia na hufanya kazi kama balozi kwneye kambi tofauti za wakimbizi Africa.
Post a Comment