NBA all stars straters zatangazwa rasmi

kama ilivyo ada  shirikisho la mpila wakikapu marekani NBA latangaza limetangaza rasmi usiku waku amkia leo NBA all stars starters kati ya east na western side za NBA amabapo list hii huwa niya wachezaji walio fanya  powa katika michuano yakikapu kwa kila conference kwa mwaka husika.Na upigaji wakula katika shughuli nzima yaku chagua stars wakila conference ulikuwa kama ufuatavyo mashabiki walikuwa wana piga kula na asilimia za kula ambazo zilikua zina chukuliwa ni asilimia 50%za kula za mashabiki huku wachezaji kula zao zilikuwa zinachukuliwa kama asilimia 25% na zilizo bakia zilikuwa zina toka kwa vyombo vya habari vinavyo jihusisha na basketball

Kwa upande wa EASTERN CONFERENCE ulikuwa una jumuisha wachezaji kama kyrie Irving,Demar DeRozan,Lebron James, Giannis Antetokunmpo and Joel Embiid na captain wa team hii ni LeBron JamesCover

Pia kwa upande wa WESTERN CONFERENCE  umeundwa na wachezaji kama  Steph Curry, James Harden, Kelvin Durant, DeMarcus Cousins and Anthony Davis Cover

No comments