OMG wauanza mwaka na hii hapa mpya


Kundi la muziki la OMG linaloundwa na vijana watatu ambao ni Salmin Swaggz, Young Lunya na Con Boi lililopo chini ya record label ya (SMG) Switch Music Group, wanatualika kutazama video ya wimbo wao mpya inaitwa Wanangu Na Wanao ambao wamemshirikisha mkali mwingine wa Rap nchini Rosa Ree..
Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama video hiyo..

No comments