Sauti Soul kuachia chupa mpya na Tiwa savage
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Soul lipo mbioni kuachia kolabo na msanii wa Nigeria, Tiwa Savage.
Kufanikiwa kwa kolabo hiyo Sauti Soul wanaungana na Diamond Platnumz ambaye June mwaka huu ametoa ngoma na Tiwa Savage inayokwenda kwa jina la Fire.
Kufanikiwa kwa kolabo hiyo Sauti Soul wanaungana na Diamond Platnumz ambaye June mwaka huu ametoa ngoma na Tiwa Savage inayokwenda kwa jina la Fire.
Kupitia ukurasa wao mtandao wa Twitter Sauti Soul wameandika; If you can’t wait for the Tiwa collabo just tweet#AfrikanSauce
Pia kolabo hiyo itakuwa ngoma nyingi kwa Sauti Soul kufanya na msanii wa Nigeria ambapo kwa sasa wanafanya vizuri na ngoma ‘Melanin’ ambayo wamemshirikisha Patoranking.
Post a Comment