Wakali wanao pokea pesa ndefu EPL
Ikiwa ndo ligi pendwa na ligi ngumu sana katika ulimwengu wasoka leo hii naku inform wachezaji wanao lipwa mkwanja mlefu sana katika ligi kuu ya nchini Uingereza ambapo list hiyo ina mjumuisha mchezaji mpya wa liverpool aliyetoka southampton huku Manchester united wakiongoza kuwa na wachezaji ambao wanalipwa pesa ndedu list kamili hiyo hapo chini
1- Paul Pogba analipwa pound 290000/Tsh 872,087,739 (ManUnited)
2- Romelu Lukaku pound 250000/Tsh 752,068,375 (ManUnited)
3- Sergio Aguero pound 220000/Tsh 661,820,170 (ManCity)
= Yaya Toure pound 220000/Tsh 661,820,170 (ManCity)
= Zlatan Ibrahimovic pound 220000/Tsh 661,820,170 (ManUnited)
6-Kelvin De Bruyne pound 200000/Tsh 601,609,900 (Man City)
= David Degea pound 200000/Tsh 601,609,900 (ManUnited)
= Eden Hazard pound 200000/Tsh 601,609,900 (Chelsea)
9-Virgil van Dirk pound 180000/Tsh 541,448,910 (Liverpool)
= Philippe Coutinho pound 180000/Tsh 54,1448,910 (Liverpool)
Post a Comment