Real Madrid wkimbiza Dubai Global Soccer Awards
Usiku wa December 28 2017 tuzo za Dubai Global Soccer 2017 zilifanyika Dubai na kushuhudia mastaa mbalimbali wakiibuka kidedea kwa kutwaa tuzo hizo kwa mwaka 2017, staa wa soka wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka.
Wengine walioshinda tuzo hizo ni kocha waReal Madrid Zinedine Zidane ambaye ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017 wakati staa wa zamani wa AS RomaFrancesco Totti akishinda tuzo ya heshima.
List ya washindi walioshinda tuzo za Dubai Global Soccer Awards 2017
Jorge Mendes wakala bora 2017Carlos Puyol tuzo ya heshima 2017Felix Brych refa bora wa mwaka 2017Real Madrid wameshinda tuzo ya club bora ya mwaka 2017Kocha wa Misri Hector Cuperameshinda tuzo ya kocha bora wa timu ya taifa.
Post a Comment