Harry Kane asusha msiba kwa wenger
Watoto wa mjini hoenda kuiita North London Derby, vita ya watoto wa mjini nikama Tanzania Simba na Yanga kwakuwa hawa wote niwatoto wa Kariakoo, kwa siku ya jana Arsenal the gunners wakiongozwa na Aubameyang mchezaji wao mpya kabisa tokea Gabon walikalibishwa na mahasimu wao wakubwa pale wembley stadium Totenhamhotspurs
Ambapo katika mtanange huo Harry Kane ame endelea kumu adhibu babu wenger vilivyo nakumuonesha kuwa alifanya makosa makubwa kumu acha kane aende zake Totenham, niwakumbushe kidogo kuwa kane utoto wake mpk ana kuwa alikuwa ana chezea team ndogo ya watoto lakin alifukuzwa na babu wenger kuwa hana kipaji nakuwaacha wakima Akapom ambao hawajaleta msaada wowote ule klabuni hapo
Na baada yakufunga goli hilo ana kuwa sawa na Roberto pires kwakufunga magoli saba katika North london derby huku anaye ongoza ni mwafrika Emmanuel Adebayor mwenye goli nane

Post a Comment