Touch of Gold" historia ya youtube iliyowekwa na Ronaldinho



Bado tupo na king of football mzee baba Ronaldinho gaucho hakuvunja rekodi uwanjani bali hata katika mtandao wa youtube





Hii ndio ilikuwa video ya kwanza kufikisha views million 1 katika mtandao wa Youtube tangu ulipoanzishwa. Ilikuwa mwaka 2005. Video hii ilipewa jina la #TouchOfGold
:
Ni ngumu kumkuta mtu anayejua sana kuuchezea mpira (freestyler) akawa anajua pia kuucheza mpira dimbani katika mechi rasmi. Lakini Ronaldinho Gaucho alikuwa anavimudu vyote. Kipaji cha aina yake alikuwa nacho mbrazil huyu.

No comments