Mjue mwanadada aliye imbiwa perfect na Ed sheran
Ed Sheeran ametumia Instagram kutufahamisha kuwa yupo kwenye mahusiano ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu Cherry Seaborn.
Ed Sheeran ametangaza habari hii kuwa kwa sasa Cherry Seaborn ni mchumba wake, wanafuraha pamoja, ndio mwanamke mwenye moyo wake.
Mambo yakufahamu kuhusu Cherry
1.) Cherry Seaborn kajuana na Ed toka wakiwa shule ya sekondari, Thomas Mills High School huko Framlingham, Suffolk,
2.) Walikuwa chuo cha Duke University pamoja,
3.) Ni mchezo hockey mzuri sana na alishiriki kwenye mashindano ya kitaifa ya Britsh University Championships mwaka 2012 na 2013.
4.) Aliondoka Uingereza na baadae kurudi tena ili kuwa karibu na Ed mwaka 2015 na sasa wanaishi pamoja.
5.) Cherry ndio mwanamke aliyeimbiwa nyimbo kama ‘Shape of You’ na ‘Perfect’ ambazo ni Hits kuwa za Ed, wapenzi hawa wanatarajia kufunga ndoa mwaka huu.
Post a Comment