Video 20 ambazo zime angaliwa malanyingi katika mtaa wa YouTube.

Zikiwa zimebaki siku 10 mwaka 2017 umalizike, ifuatayoni list ya video 20 zilizoangaliwa zaidi mwaka 2017 kupitia mtandao wa YouTube.Muuza karanga toka tandale Diamond ameonekana kutawala list hiyo baada ya kuingiza video zaidi ya 7. Alikiba ameingiza video moja ya wimbo Seduce Me. Pia kijana Aslay ameonekana kuja kwa kasi sana ndani wa mwaka 2017 kwani kupitia list hii ameingiza video 3.
List hii imeangazia video zilizotoka kuanzia Januari 2017 hadi Disemba 2017.
1. Diamond Platnumz – Marry You ft. Ne-Yo
19,000,510 views

2. Diamond Platnumz, Harmonize, Rich Mavoko, Rayvanny -Zilipendwa.
11,790,049 views

3. Alikiba – Seduce Me
8,270,227 views

4. Diamond Platnumz ft Morgan Heritage – Hallelujah
7,933,626 views

5.Queen Darleen Ft Rayvanny – KIJUSO
7,134,541 views

6.Diamond Platnumz – ENEKA
6,600,160 views


7. Diamond Platnumz – I miss you
6,802,459 views

8. Harmonize – NIAMBIE
6,025,010 views


9. Harmonize X Rich Mavoko – Show Me
5,320,790 views

10. Diamond Platnumz ft Tiwa Savage – Fire 
4,751,639 views

11. Rayvanny – ZEZETA
4,357,596 views

12. Rayvanny – Mbeleko
4,167,627 views

13. Aslay – Natamba
4,190,044 views

14. ASLAY – ANGEKUONA
4,232,104 views


15. Harmonize – HAPPY BIRTHDAY
3,793,474 views


16. Lavalava – Tuachene
3,754,664 views


17. Aslay – Muhudumu
3,419,637 views


18. Rayvanny – Unaibiwa
3,390,351 views

19. Diamond Platnumz – Sikomi 
3,271,248 views

20. Harmonize – Sina
3,160,231 views



No comments