MWANA SAYANSI ALIYE GUNDUA BASTOLA ZA WATOTO LONNIE JOHSNON
Inaitwa super Soaker Squirt Gun moja wapo wa bastola ya kuchezea ambayo ni maaraufu sana duniani inayo tumiwa na watoto sana sana katika michezo, nyingine hutumia, maji rangi na aina nyingine ya vimiminika
Na mgunduzi wa risasi iyo maarufu ya kuchezea anaitwa Lonnie G Johnson mwana science ambaye alikuwa anafanya kazi NASA na mtu aliyeweza kutengeneza THE STEALTH BOMBER na kufanikisha mission ya GALILEO KWENDA JUPITER, aliweza kuitoa hiyo risasi mnamo mwaka 1989 kitu pekee kilicho mfanya aweze kufungua kampuni yake ya RESEARCH AND DEVELOPMENT huku kwa sasa akiwa na miaka yake 68 bado inaifanyia kazi shirika la NASA kutokana na ujuzi wake aliokuwa nao

Post a Comment