CARZOLA ALUDI NYUMBANI VILLAREAL
Aliye kuwa mchezaji wa Arsenal the gunners yenye maskani yake pale Emirates Santi Carzola, baada ya kutemana na klabu hiyo baada ya kukaa nje kwa mda mrefu sana akiwa anauguza majeraha yake ambapo mechi yake ya mwisho ya ushindani alicheza mnamo mwaka 2016.
Baada ya kuondoka hapo Emirates, kunamsemo unasema Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani na kama ulikimbia utaludi tuu Villareal klabu ambayo ilimkuza mchezaji huyo imeamua kumludisha na kumpa ofa yakuchezea team hiyo katika kipindi chote cha pre season na akiwa fleshi watampa mkataba wakudumu kiungo huyo mwenye umri wa miaka 33

Post a Comment