Line Up ya ngoma kali saba zilizo toka mwishoni mwa April na mwanzoni mwa May
Mwishoni mwa mwezi wa nne hadi mwanzoni mwa mwezi wa tano moto umewaka sana katika upande wa music kwani ni vyuma baada ya vyuma vinatolewa na wasanii toka Afrika kiujumla ambavyo vinachuana katika media tofauti hapa Africa
1.Wakwanza kabisa ni Mmakonde aliye kimbia kuchonga vinyago kwao mtwara na kuja kufanya mziki kama kazi yake pendwa aliye kuwa anatamba na kibao chake cha #KWANGWARU ameachia kibao chake kipya kilicho enda kwa jina la DM CHIK alicho mshirikisha rapper toka Ghana Sarkodie ngoma iliyo tengenezwa kwa Krizbeat na kichupa Moe Mussa
2.Rapper toka South Africa Casper Nyovest mzee wa umati mwingi naye aliachia video ya ngoma yake ya #KISAZOBALIT moja wapo wa video kali kabisa yenye ushindani wake katika soko la video Afrika
3.king of dance hall rythm toka Afrika na mzungumzia Patoranking naye yumo katika list yetu ya walio achia vyupa vikali ambapo patoranking yeye aliachia video hiyo ya wimbo wake wa SUH DIFFERENT siku nne zilizo pita ikiwa na maana ya Ijumaah
4. Mwanadada Kellah nayekaingia katika vita za watu wazima kwani ni msichana mdogo sana mwenye kipaji ambaye yupo katika lebo ya Mj records naye pia kuelekea mwezi wa tano aliachia bomu moja lenye sound kali na video kali lilo enda kwa jina la UKINIMISS
5.Namba tano imeshikiliwa na mzee baba Davido toka sony music aliye achia ngoma iliyo enda kwa jina la ASSURANCE moja wangoma kali lenye video iliyo powa sana
6.Mpaka sasa hatujajua je mwanadada huyu ni shabiki wa Yanga ya Tanzania yenye maskani jangwani kariakoo au? by the way siku ya Birthday yake naye ameamua kuachia moja wapo wangoma flani iliyo tulia sana yenye video nzuri iliyo enda kwa jina la YANGA
7.Baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu sana Ommary Nyembo aliyezoeleka kwa jina la Ommy dimpozi kaachia bonge moja la nyimbo lililo enda kwa jina la YANJE iliyo tumia lugha ya kiswahili, kingereza na kinyarwanda aliyomshirikisha mwanadada Seyi Shay

Post a Comment