Samsung S9 ndani ya FEBRUARY 2018
Kwa wapenzi wengi wa tumiaji wa smartphone wwan subili kwa hamu kubwa kuzinduliwa kwa simu mpya aua toleo jipya kabisa la smartphone ambapo smartphone hyo ita kuwa nimuendelezo wa Samsung galaxy S8+ amabapo simu itakayo toka hapo itakuwa Samsung galacy S9 amabayo kwa mujibu wa mtanadao toka Uingereza Dailystory.com umesema simu hiyo itatoka mnamo mwezi wapili tarehe 25 japo kuwa taarifa hizo so rasmi kwa kwani zime leak. Muundo wasimu hyo utakuwi
Napia kitu kikubwa kilichofanya au kilicho vujisha ujio wa simu hyo ni cover la simu lililo onyesha specification za simu hiyo ambayo itakuwa na vitu vifuatavyo
Here are the main takeaways from the leaked retail box:
• The S9 will have a 5.8-inch Quad HD+ SAMOLED display
• There will be a 12-megapixel Super Speed Dual Pixel rear camera
• The box also mentions a super slow-motion video capture
• Stereo speakers tuned by AKG, as well as AKG headphones in box
• iris scanner, 4GB RAM, 64GB of storage
• IP68 water and dust resistance and wireless charging support

Post a Comment