TINKY WINKY wa Teletubbiess ameafriki dunia

Kwa wale wote wahenga waliokuwa ni magwiji waku angalia tamthilia ya  watoto maarufu ya Teletubbiesties ambapo muigizaji wa tamthilia hyo TINKY WINKY   ila jina lake halisi Simon Shelton Barnes amefariki dunia akiwa na miaka 52 baada ya kuzimia kutokana na tatizo la ‘hypothermia’ katika mitaa ya Liverpool,
Simon Shelton Barnes ameacha watoto watatu, alipitia mafunzo ya kucheza ‘ballet’ na ‘choreographer’ kabla ya kuanza kuigiza kama kikatuni cha zambarau (purple Teletubby ) ambaye alikuwa akibeba begi la kimaajabu ‘magic bag’ katika tamthilia hiyo iliyoanza tangu mwaka 1998 hadi 2001.
Ambapo taarifa za kifo zimetolewa na Rafiki yake aliyeigiza naye John Simmit aliyecheza kama Dipsy alitumia ukurasa wake wa twitter na kusema “Ninakumbuka nyakati nzuri tulizokuwa pamoja”Ninakumbuka nyakati nzuri tulizokuwa pamoja”.

Wengine walikuwa ni Nikky Smedley aliyekuwa kama Laa Laa, na Pui Fan Lee kama Po.


















No comments