Mary j Blige kupata heshima yake
Malikia wa Hip-Hop Soul Mary J Blige anategemea kupata hesima yake kwa kuwekwa kwa nyota yenye jina lake kwenye Hollywood Walk of Fame nchini Marekani.
P Diddy aliyefanya kazi na Mary J Blige wakati anatoka kama msanii miaka ya tisini atahudhuria tukio hili mnamo Jan 11.
Mtayarishaji wa sherehe za Hollywood Walk of Fame amesema Mary J. Blige ni msanii maarufu sana kwenye kizazi chetu, mashabiki watafurahi kuona nyota yake kwenye eneo hili la kusheherekea mafanikio ya wasanii.
Post a Comment