Unajua kuwa mzee trump alisha wahi kutokea katika movie hii hapa

Kuna movie ya kitambo inaitwa "Home Alone"

Wakati wa kutengeneza filamu hiyo, Director alitaka 'kushoot' vipande kadhaa kwenye hotel. Inasemekana kwamba Mmiliki wa Hotel iliyochaguliwa alisema anataka kuonekana kwenye movie hiyo japo kidogo. Inaelezwa kwamba, mwisho wa siku mmiliki wa Hotel ile aliruhusu hotel yake kutumika bila malipo yoyote ili yeye aonekane kidogo tu na alifanikiwa.
Mmililiki yule wa hotel, leo ni Rais wa Taifa moja kubwa la Marekani mzee Donard Trump (Kwenye video hapo anaonekana akiongea na huyo mtoto). .
.

Mmililiki yule wa hotel, leo ni Rais wa Taifa moja kubwa la Marekani mzee Donard Trump (Kwenye video hapo anaonekana akiongea na huyo mtoto). .
.

No comments