Rayvanny amshirikisha nikki wapili katika SIRI
Kutoka WCB kwaRayvanny akiwa kamshirikisha Nikki wa Pilikutoka Weusi, jina la wimbo huu ni Siri na tayari wametuletea video yao, video imetengenezwa na Director aitwaye Eris Mzava kutoka ExtraFocus Production.
Post a Comment